SIRI NZITO NDANI YA...
By Os19044
3
1
0
  • General Fiction
  • love
  • politics

Description

Kisa hichi ni cha kufikirika, hakina uhalisia na Rais wala utawala wowote ndani na nje ya nchi yangu ya Tanzania, majina haya ni ya kubuni pia. Siri inaanzia kuvuja ndani ya Ikulu kuhusu skendo Chafu ya Rais na Makamu wake baada ya Video yao ya Ngono kuvuja kwenye mitandao ya kijamii. Wakati wanamtafuta aliyerekodi hadi kuvujisha video hiyo ndipo Siri nyingi za kutisha zinagundulika na kusababisha maafa ya Viongozi wengi Wa Chama Tawala na Chama Cha Upinzani.

NANI KAVUJISHA VIDEO

Continue Reading on Wattpad
SIRI NZIT...
by Os19044
3
1
0
Wattpad